Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
!!!!!!!!!
hivi hiyo cheni ndio ile.......????
Ndio ileeeee ile ya kila siku!
Ndio ileeeee ile ya kila siku!
kuna mmoja alinichekesha huyo eti mpaka imeshajichora shingoni, so hata siku akiivua hana kuwaza anaonekana kavaa cheni kama kawaida.
kuna mmoja alinichekesha huyo eti mpaka imeshajichora shingoni, so hata siku akiivua hana kuwaza anaonekana kavaa cheni kama kawaida.
Ndio ileeeee ile ya kila siku!
Keshachelewa
hajachelewa!!!sasa tatizo lipo wapi mi si nimesema kachelewa.... Wewe sema kawahi ili ubalance basi...mi nimeona hivyo maaan huko nyuma angetakiwa kufanya hayo...... Ila kachelewa
Wabongo tunapenda kukatishana tamaa sana. . . Hata kama angekuwa na miaka 50 bado si sawa kumkatisha tamaa. . . .Huo ni ujumbe muhimu sana kwa wenye akili! Ifikie hatua tuweke chuki binafsi pembeni na tusapoti maendeleo