Wema Sepetu: Kupendeza Muhimu lakini Kuelimika ni muhimu zaidi

Wema Sepetu: Kupendeza Muhimu lakini Kuelimika ni muhimu zaidi

Wenzake wamepewa ukuu wa wilaya nae anautaka...so bila kufata ushauri aliopewa now kujifanya anajali jamii itakuaje tena.

bali arudi shule kuburudisha akili yake vizuri kidogo kwa level ingine sio ya kutegemea wafanyakazi wafanye kila kitu chini ya jina lake na yeye kakaaa tu kusubiria,
 
Kupata maarifa ni kitu cha kwanza na kuelimika ni kitu kingineKuyatumia maarifa uliyoelimika nayo kwa manufaa ya jamii nzima pia ni kitu kingine tofauti kabisa maneno yangekuwa matendo tusingekuwa na maskini wala mjinga hata mmoja.
 
Uzi una Ujumbe mzuri tu, lkn kuna sehemu wambea wamefanya yao!
 
Na iwe hivyo asome, aelimike na ayafanyie kazi ipasavyo
 
Wabongo tunapenda kukatishana tamaa sana. . . Hata kama angekuwa na miaka 50 bado si sawa kumkatisha tamaa. . . .Huo ni ujumbe muhimu sana kwa wenye akili! Ifikie hatua tuweke chuki binafsi pembeni na tusapoti maendeleo

Kenya kina bibi kizee wa miaka zaidi ya 90 yuko darasa la nne! Elimu haina mwisho!
 
waaoh...good speech! naona its 'U turn' time, keep it up Wema.
 
Back
Top Bottom