Wema Sepetu Kurudiana Na Diamond Platinumz Imekuwa Laana Kwa Nyota Yake!!!

Wema Sepetu Kurudiana Na Diamond Platinumz Imekuwa Laana Kwa Nyota Yake!!!

Uchi umetumika na A,B,C,D,E............Z.
ETI HUYO NDIO MISS TZ.
 
Clement ni muhongaji mzuri!Anahonga ma milion,pole mke wa Clement,Hiyo office si angemfungulia mkewe?
 
...hahaha,... maana yake nini hiyo?? Hakika ,, kiukweli BINTI yeyote mwenye akili timamu lazima sasa atakua amechoshwa na huu UPUUZI WA DIAMOND na WEMA...

Hata kumwelewa huyu Clement napo kwanipa tabu dah............anyway dunia ni yao chaguo ni lao.
 
Wengi wanaponzwa na mapenzi ya usanii, ukishaitwa my boo sijui bubuuu basi nawe unakuwa bubu kweli hata ukijapata kauli inakuwa too late unaanza kuhaha na kuishia kuchafuana magazetini kha! Tena tusijeshangaa huyo Wema kwa hasira ya kunyang'anywa vitu akaanza anika hata wasifu wa tupu za huyo bwana kha!!
 
Back
Top Bottom