tenanzinyo
Member
- Dec 28, 2012
- 64
- 23
sasa kama analambisha na zinalambika kwa nini watu wasilambe?Watu watalamba sana hizo lips.....!!!
kwenye kulambwa, na hivi huwa anasema akipenda anazama, basi...nahisi atafanya vizuri
sasa kama analambisha na zinalambika kwa nini watu wasilambe?
walambe tu kwani nani kakataa!!!
Lakini nilichokiona ni ulambikaji wake upo wazi na karibu kila mmoja anajuwa, kuna wale wanaolambwa kwa siri siri inawezekana wana idadi kubwa ya waliowalamba kuliko hata Wema. Inawezekana Eveline salt una mstari mrefu kuliko wa Wema, ni vile walioko kwenye mstari wako hatuwajui..
Hivi ni mmakonde?Da bwawa limeingiwa na luba,hiyo BB imefika mahali pake kwa dada yetu Wema,haya majina nayo jina linaendana na tabia ya mtu Wema ni dada mwema sana KUNNYIMA MI NTU KITU ALICHONIPA MUNGU NAONA AIBU BWANA WEWE SOMOOO BAH
Nawe shusha yako maneno bibie.....watu mna maneno humu utadhani mko perfect