Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwacheni akafanye umalaya huko. KWEEEELI!
Miezi mitatu huyu ni lazima arudi na Mimba juu.
Mwacheni akafanye umalaya huko. KWEEEELI!
we panthe unapinga nini BBA wanaenda watu bright up stars., and ofcoz wema z bright na exposed enough we ulitaka waende watoto wa uswahilini kama kina anti ezekieli., waridi etc ??!
Nenda wewe mtakatifu, ulinde heshima ya TanzaniaNi hivi punde nimeiona hii kupitia blog ya www. miss Jestina george.com,kwamba wema sepetu msanii mwenye kila aina ya vituko lukuki,kwamba ni miongoni mwa watanzania ambao wako mbioni kutua katika lile shindano la Big brother afrika,2013.
My take:hivi ni namna gani huu mchakato wa kupata wawakilishi wa taifa hili huko big brother afrika unavyoendeshwa?
Je ni katika upana gani mchakato huu hutangazwa nchi nzima ili watu wengi waweze kujitokeza ili kumpata mtu sahihi mwenye upeo mpana mwenye kuweza kuchanganua mambo kulingana na dunia ya leo.
Ebu wadau kwenye hili tueleweshane kuhusu hnii multichoice na jinsi inavyofanya shughuli zake hapa nchini.
akatanuliwe tena sema akaongezewe kamasi maana kama kutanuka alishatanuka zamani.Ngoja aende akatanuliwe shimo na watu wa western