Ni hivi punde nimeiona hii kupitia blog ya www. miss Jestina george.com,kwamba wema sepetu msanii mwenye kila aina ya vituko lukuki,kwamba ni miongoni mwa watanzania ambao wako mbioni kutua katika lile shindano la Big brother afrika,2013.
My take:hivi ni namna gani huu mchakato wa kupata wawakilishi wa taifa hili huko big brother afrika unavyoendeshwa?
Je ni katika upana gani mchakato huu hutangazwa nchi nzima ili watu wengi waweze kujitokeza ili kumpata mtu sahihi mwenye upeo mpana mwenye kuweza kuchanganua mambo kulingana na dunia ya leo.
Ebu wadau kwenye hili tueleweshane kuhusu hnii multichoice na jinsi inavyofanya shughuli zake hapa nchini.