Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
kwani msukuma siyo mwanaume peleka huko ulofa wako haya wewe ambaye siyo msukuma umemzidi kipi msukuma mwenzako anamkwanja wa kuhonga wewe kazi umbeya tu
Jf[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Ni uzushi tu huu. Wema tupo naye hapa Escape 1. Amekaa meza ya mwisho kutoka nyuma. Picha zitafuata
Ficha upumbavu wako wewe ****...
Kwani Wasukuma sio binadamu??...
Du! Kumbe drug dealers ni wengi aise. Ndio maana wanahaha. Kumbe msukuma naye ndio wale waleNiko hapa Geita Desire Park .Hii ni klabu ya kisasa hapa Geita. Nimemuona Msukuma akiwa na Wema Sepetu katika hali ya mahaba mazito. Kwa kiwango cha umaarufu wa Wema hakutakiwa kujihusisha na Mkusuma fisadi mdogo.
[emoji848][emoji848]Huyo angekuwa anatumia logbook kwa kazi hiyo sasa hivi angekuwa amesha jaza shelfu ya logbook zilizotumika.
Ndio kazi yake,wanamlipa pesa,juzi kati alikua na yule mkuu wa wilaya ya hai,ole sabaya,anamnunulia nguo.huyo dada hafaiNiko hapa Geita Desire Park .Hii ni klabu ya kisasa hapa Geita. Nimemuona Msukuma akiwa na Wema Sepetu katika hali ya mahaba mazito. Kwa kiwango cha umaarufu wa Wema hakutakiwa kujihusisha na Mkusuma fisadi mdogo.
Nenda kaliwe wewe umukomoeNiko hapa Geita Desire Park .Hii ni klabu ya kisasa hapa Geita. Nimemuona Msukuma akiwa na Wema Sepetu katika hali ya mahaba mazito. Kwa kiwango cha umaarufu wa Wema hakutakiwa kujihusisha na Mkusuma fisadi mdogo.