Kwanini Ni bado?Zuchu bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini Ni bado?Zuchu bado
Mtoto anaji brand vizuri,kuimba vizuri atazidi kuimarika hata kina Rayvanny walianza hivi hiviZuchu anatafuta support ya wabongo movie badala ya wanamuziki ili akuze kipaji chake. All the best, naona anatafuta popularity badala ya kutafuta kukua kimuziki
Mzazi mwenzake na aslay.
Anaitwa Mama Moza.
Vidampa, [emoji23][emoji23][emoji23] hili neno kitambo sana kulisikia.Yaani hivi vidampa kuimba nyimbo zake ndio ajione star au katusua, ama kweli ujinga n mzigo. Akaze buti atafka atakako but not now.
Tumekuona djhkmonster,Wanawake ndio majaji wazuri wa muziki, wakishakupitisha masela watabaki kubonga mbaya.
Yaaan hatareeh San [emoji23][emoji23]Vidampa, [emoji23][emoji23][emoji23] hili neno kitambo sana kulisikia.
Huyo dada yupo vizuri Sana anaweza kuimba mziki wa aina yoyote subiri aanze kutoa ngoma tofauti na ladha za taarabuIla hapa kwa Zuchu, Diamond na WCB yake waliingia choo cha kivita. Bora wangemtambulisha kama muimba Taarabu kutoka WCB
Diamond amemchukua Zuchu na kumpa promo bab kubwa isiyo na malipo hata kidogo.Huyo dada yupo vizuri Sana anaweza kuimba mziki wa aina yoyote subiri aanze kutoa ngoma tofauti na ladha za taarabu