Wema Sepetu "Madame" Fans' Special Thread, Njooni tukutane hapa

Wema anaishi maisha ya kuiga superstars wa nje hasa kim k,that's y ananibore!anaiga hadi plastick surgeries asiombe kufulia coz u need to go to clinics after muda fulani kupita
 
Wachekaji tupooo tumejaa siku vikianza kuchomoka kimoja kimoja
 
Binam mi mwenyewe nampenda Wema,sijui kwa nini lakini siku zote simpendi domondi.

Nampenda Wema ila mambo yake simuelewi haswa akiwa na huyo domo mapenzi yangu huwa likizo ila lazma warudiane tu alivo
 
Mmh humuelewi nn sasa? mi nimegundua nampenda sana wema sepetu, niliona interview yake juz dar yupo vzur sana

Yani jamani binamu warumi mambo yako meusi sa ingine juzi tumemchamba wote tena kwa udhamini mkubwa toka kwako jamani umetugeuka binamu jamani binamuuuu!
 
Last edited by a moderator:

Mumchukie weeee ila roho yake mumuachie. Sijui hata Wema amewakosea nini enyi watanzania...
 
Yani jamani binamu warumi mambo yako meusi sa ingine juzi tumemchamba wote tena kwa udhamini mkubwa toka kwako jamani umetugeuka binamu jamani binamuuuu!

Binamu kigeugeu,kanichekesha sana leo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…