Wema Sepetu "Madame" Fans' Special Thread, Njooni tukutane hapa

Wema Sepetu "Madame" Fans' Special Thread, Njooni tukutane hapa

Mzuri ule mwanya na mdomo labda na k yake kwingine hoiii anazidiwa na Hamisa mabeto kwa shepu

Hamisa libaya jaman, camera ya galaxy kama ya lucy komba ndo inamuokoa, ana sura kama chatu yule
 
Hhhhhhhaaaa
Mimi zamani nilikua nampenda sana Wema sijui ikageukaje namuona wa thamani ndogo halaf mbayaaa

Team wema kule insta nataman siku waingie humu tupeane michambo ya haja, itakuwa mtafutano humu, najua binamu yangu utakavyoanza kuji quote
 
Unajua nilitoka ndo naingia nimecheka balaaaaaa, duuu si unajua haters hua hatukosekani tuu
Hivu heaven hua unampendea nini wema sikuelewagii!!!niambiee

Haters nambar one leo kageuka, hata sinogi eeeh kuwa team wema??
 
Mfyuu ikufikie popote ulipo

Khaa, kweli leo mmeniweza, na uzi ndo mmeususa kabisa, itabid nirud team haters aiseeh, sikubali niwapoteze watu wangu wa nguvu
Ila wema mzuri bana af kisauti chake mweh mtoto anaongea sauti ya kike sijui ndo stereo sema mmh kagololi anakagawa gawa hadi kwa watoto wa kiswazi bora angekagawa kwa watu wa ukwee
 
Binamu kumekucha unahitajika jukwaan aka uwanja wa majobless, njoo tujipe raha sie

Binamu nimeona mambo yako kwenye uzi wa ndomo,umetisha buana,mpaka uzi umekuwa wa warumi aisee we ni nyoko..
 
Back
Top Bottom