Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Mfyuuuuuuuuuuu
hahaahahahahaha msunyo in hamisaz lips
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfyuuuuuuuuuuu
Nadhani bibie Nifah atatambaa nao huo uzi.
Mfyuuuuu na wema wako
Tutamgeuka na sie siku moja mpaka atazimiaa
We muache tu ipo siku yake atajutra tutamgeuka mpaka ahamie jukwaa la intelijensia
umbea ni afya unavirutubisho vyote kama unga wa uji wa lisheeSipati picha siku akija jukwaa la Siasa atakavyo kimbizwa hahahhaha
lakini ninacho msifu ana mchango mkubwa sana kwenye jukwaa hili maana yeye ndio amechangia limekuwa moja ya majukwaa ambayo mtu uwezi kuacha kupita hata kama hutochangia.....sasa hivi ni Moja ya majukwaa jf yenye jam la kutosha!
Haya mrembo,,,sie tupo kule tunacheka mnyukano wa mbuta na Mange
wapi huko dina niite plzzz
Njoo uzi unaitwa Mbuta nanga
Hamisa libaya jaman, camera ya galaxy kama ya lucy komba ndo inamuokoa, ana sura kama chatu yule
Ni kweli camera ina mu save hana lolote hafu binamu nina ubuyu
Binam umeniudhiiiiiiiiiiiiiiii ta.ko lakoo
Yapo ipo tayari binamu, we endelea kuchemsha tu hyo dawa ukimaliza nambie
Subiriiii
Binam ushakula ban hhhhhhhaaaaaaaa na safari hii sikuteteiii ufunguliwe ukomeeee
Subiriiii
Binam ushakula ban hhhhhhhaaaaaaaa na safari hii sikuteteiii ufunguliwe ukomeeee
Lin ushawahi kunitetea? Mfyuu nipishe apa
Ban ipi unayoizungumzia wewe