Wema Sepetu "Madame" Fans' Special Thread, Njooni tukutane hapa

Wema Sepetu "Madame" Fans' Special Thread, Njooni tukutane hapa

Labda sio warumi mie, mi kila siku nikitukana lazima nipewe ban tena za nguvu , sasa unavyosema ulinitetea sijuelewi kabisa maana ban kila siku napewa apa, bas waambie ma mods waniweke kwenye ignore list wasinipe ban kama kwel wewe dinazarde

We we huwezag kupuuzia kwa nini mbea gani wewe usiejua kudharau na kua na nyodo,,,,hujakamilika umbea weweee
 
Last edited by a moderator:
We we huwezag kupuuzia kwa nini mbea gani wewe usiejua kudharau na kua na nyodo,,,,hujakamilika umbea weweee

Sasa ivi ngoja niwapotezee, nimeshakuwa matawi ya juu, mtu akijifanya analeta ujinga tu nampotezea then nam ignore maana ukibishana nao unawapa bichwa tu wakat mie numehangaika apa kuitwa warumi wenyew wanataka umaarufu kirahis kupitia mimi, nitawakomesha now subir
 
Umeona eeee wanataka kupitia mgongo wakooo, ,nao waanze moja kama ulivyoanza wewe,,
 
Mhhhhhh Tmk family ndo nani huyo?? toa na ushaidi wa picha za hao wapenz wake acha porojo,hasa huyo tmk family.Majuto tena?😂😂😂
 
kuanzisha special threads imekua fashion kama kutangaza nia ya uraisi,,, Mfungulie na kingwendu special thread yake
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Umesahau baada ya jumtaja Diamond kumalizia kuwa Wema alimuacha Diamond vibaya kwa kumwambia anataka Likizo aende zake hiyo Oct 2014.
 
Wema hana hadhi ya kufunguliwa special Thread hapa Jf achilia mbali kuanzishiwa Thread hapa kwa kipi haswa alichokifanya / anaendelea au anachotarajia kukifanya?
 
Hahahahaha. Nmecheka hiyo TMK Family,sio Mkubwa Fella uyo?
 
Back
Top Bottom