Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila watu kwa kujudge wengine hatujambo. Wemasepetu ni star ndo maana kila anachofanya kinawekwa wazi. Embu jiulize au chukua kalamu anza kuandika tangu shule ya msingi hadi leo imekua na wanawake au wanaume wangapi?. Anaeweza kumnyooshea kidole wemasepetu ni bikra tu wengine wote ni wazinzi na hatuna haki ya kumwona wemasepetu hafai . Angekua hafai diamond unadhani hakujua km wemasepetu alikua na mahusiano mangapi ya nyuma??? Ww mwanamke au mwanaume unaanza uhusiano ukijua mtu ulienae alikua na mtu na maisha yanaendelea leo unaandika wemasepetu hafai. Acheni kujudge kinafiki semeni ukweli.
mie sio mfatiliaji sana wa hawa wanao jiita mastaa wa bongo
ila nataka kujua wema sepetu ana helimu gani ili nijue ana upeo gani
wa kufikiri coz kafeli movi mabwana wa kumuhonga sasa anajaribu
siasa kama a wey out
Ila watu kwa kujudge wengine hatujambo. Wemasepetu ni star ndo maana kila anachofanya kinawekwa wazi. Embu jiulize au chukua kalamu anza kuandika tangu shule ya msingi hadi leo imekua na wanawake au wanaume wangapi?. Anaeweza kumnyooshea kidole wemasepetu ni bikra tu wengine wote ni wazinzi na hatuna haki ya kumwona wemasepetu hafai . Angekua hafai diamond unadhani hakujua km wemasepetu alikua na mahusiano mangapi ya nyuma??? Ww mwanamke au mwanaume unaanza uhusiano ukijua mtu ulienae alikua na mtu na maisha yanaendelea leo unaandika wemasepetu hafai. Acheni kujudge kinafiki semeni ukweli.
Jana kaandika Instagram amesoma international relation ila baba ake alitaka asome political science siku hizi form four kuna hizo kozi??? Pia nkaona dada ake wa karibu mange nae kasema ana form four agombee tu atasoma mbele kwa mbele!!!form four tu