Wema Sepetu mbona udanganye umri, ukizeeka kubali tu

Hataki kukubali kwamba ni bibi....!
 
Mbaya siku hizi kuna hata wanaume utasikia wanafanya sherehe ya BD halafu hawasemi miaka mambo ya kike kweli, wewe kama hutaki kusema miaka yako unafanya sherehe ya nini katika mitandao? Kwanza mimi kama mimi mwanaume sifanyi BD lakini hata kama nafanya sifichi miaka ili iweje? na kina dada miaka ni barka wala hakuna aibu hivi hatujifunzi tu huko majuu tuliowaiga, hawafichi kitu ukificha unadharaulika. kwa Wema kama anadanganya basi anajidanganja mwenyewe.
 
Sura ishaanza kutuzomea,,,sasa hana ujanja
 
Kwa hesabu hiyo, inamaana 2006 wakati anashinda umiss alikuwa na miaka16 😂😂😂😂😂😂. Hawa watu watatumaliza kwa uongo jamani.
 
kiukwel hawa madada vioo wa bongo au divas ni wazee haswa niko la pili nawaoma ivo ivo mpaka leo yan kwa maesa bu ya haraka na uhakika kipindi na waona walikuwa kati ya miaka 18_24 kasoro lulu tu kwahiyo hapo ni kuplus miaka 16 kila mtu utaona mdogo ndo atakuwa na16+18 34 😅😅 sasa huyu wa 30 ni wizina mkaubwa yan 24+16= hapo sisemi
 
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]
Huyo ana zaidi ya 36 ,,kuanzia mwaka 2012 alikuwa kila mwaka anasema ana 24,,kasimama Mara 4 kila mwaka ana 24 haipandi..
Sasa kaona aibu baada ya nyama za mikono kushuka,na uso wake kuanza kuzomea watu...
 
Atakuwa alizaliwa Mars, anahesabu miaka ya huko
 
Muanzisha mada na wachangiaji nendeni kwa page ya mange kimavi insta. Ameelezea kwa kirefu sana. Maana enzi za umiss mange na wenzake walifoji umri wa wema.
Alikua 16 years old. Sema wakafoji birth certificate na passport aonekana 18. Wanoko wakafuatilia shule kufukunyua. Mdingi na maza wakawapiga mkwara shule mkionesha documentos za mwenetu tunawashtaki.
In short walimuongezea miaka miwili ili awe halali kugombea. Eventually akashinda umiss huo 2006.

Wema this year kwa umri ule ule wa kudanganya this year alitakiwa awe 32.
Sema inaonekana km ametubu na kutamka umri wake sahihi mwaka huu ambao ni 30.
Tena Mange anasema yawezekana pia ana 29. Ila for sure 30 according to yeye ndio umri halisi.

Hivo wajumbe mueleweni. Ameamua kuwa muwazi this time around.

Nje ya mada.....hivi vyombo vya Sheria haviwezi mshitaki kweli??
 
Huyo ana zaidi ya 36 ,,kuanzia mwaka 2012 alikuwa kila mwaka anasema ana 24,,kasimama Mara 4 kila mwaka ana 24 haipandi..
Sasa kaona aibu baada ya nyama za mikono kushuka,na uso wake kuanza kuzomea watu...
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huyo ana zaidi ya 36 ,,kuanzia mwaka 2012 alikuwa kila mwaka anasema ana 24,,kasimama Mara 4 kila mwaka ana 24 haipandi..
Sasa kaona aibu baada ya nyama za mikono kushuka,na uso wake kuanza kuzomea watu...
Huendi mbinguni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwanamke huwa haulizwi umri bana, mara zote huwa nawaita Totoz, Flowers and Sweet 16.....
 

Mange anatundanganya bhna. Form 4 miaka 14?? Manake kaanza form 1 na miaka 10. Ukitoa miaka sita since kasema alirukishwa darasa moja manake alianza darasa la 1 na miaka 4 ???? Jaman
 
Wengine umri mkubwa sura ndogo hapo unalilia ukubwa. Huku wengine wanalilia utoto ama kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…