Wema Sepetu mbona udanganye umri, ukizeeka kubali tu

Wema Sepetu mbona udanganye umri, ukizeeka kubali tu

Wengine umri mkubwa sura ndogo hapo unalilia ukubwa. Huku wengine wanalilia utoto ama kweli
Wema amezeeka bana hana chake mjini aachie kina Mimi Mars na Mobetto watoto wa mjini saiv
 
Huyu wema Sepetu anamiaka 30, ivi aligombea umiss akiwa na miaka mingapi? Mana iyo 2006 , me nilikuwa form one . Nikiangalia miaka yangu mpaka sasa naona kanizidi miaka 2 tu.

Kiujumla Mimi nimekuwa Ila yeye naona yuko stagnant, hata kumkula naweza Sasa,
Bro unawaza kumla wakati amechoka hiyvo. Mimi kwa sasa hata akikaa u.ch.. mkonga hausimami.
 
Huyo ana zaidi ya 36 ,,kuanzia mwaka 2012 alikuwa kila mwaka anasema ana 24,,kasimama Mara 4 kila mwaka ana 24 haipandi..
Sasa kaona aibu baada ya nyama za mikono kushuka,na uso wake kuanza kuzomea watu...
36 mnamsingizia kuna pisi walikuwa class moja sekondari na alikuwa mkubwa kwa Wema Sasa hivi hiyo pisi ndiyo 33 huyu azidi 32 Sema kabanduliwa na kumwagiwa makeup za kila aina usoni iwe Nigeria,Warabu,Bongo movie mradi kamwagiwa.
 
Duu,,aisee!!
 
Mange anatundanganya bhna. Form 4 miaka 14?? Manake kaanza form 1 na miaka 10. Ukitoa miaka sita since kasema alirukishwa darasa moja manake alianza darasa la 1 na miaka 4 ???? Jaman
Mastaa waongo waongo si wakuwaamini sana.
Ila wife wangu class kwake walishasomaga na binti alikua 10 years old wakiwa form one. So inawezekana kabisa.
 
Maisha hayana adabu haya, kwamba leo hii Wema ni 'reject' kabisa wa kuzomewa namna hii?

I can’t imagine how desperate she feels!
 
Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa ya Twiga wao wanamwita Tanzanian Sweetheart (japokuwa binafsi huwa sioni urembo wake).

Binafsi yeye amesema kuwa ametimiza miaka 30 Ila wadaku wa mambo wanakuambia si miaka 30 bali 32 kwasababu amezaliwa mwaka 1988 so up to now ilitakiwa iwe miaka 32.

Hii tabia ya kudanganganya miaka wanayo mastar wengi wa kike si Tanzania pekee bali duniani kote sijajua sababu ya wao kufanya hivyo.

Labda wanataka wapate madili na wadate na wakaka wadogo labda ndio sababu
1984 kazaliwa
 
1990 September 28 kazaliwa
1995 January darasa la kwanza, miaka 4
2001 September 25 necta darasa la saba, miaka 10
2002 January form one, miaka 11
2005 nov form four, miaka 15
2006 August, miss Tanzania, miaka 15
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ikifika 2030 , atasema amezaliwa 2000 [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakati akishinda taji la Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu alitajwa kuwa na umri wa miaka 18. Lakini taarifa zake zilizokuwa BASATA zilionyesha kuwa alikuwa na umri chini ya miaka 18, kwani ilionekana ana miaka 17. Ilikuwa almanusra anyang'anywe crown kama siyo janja janja ya kina Lundenga. So mnyongeni lakini haki yake mpeni, siyo mkubwa wa hivyo
 
Jamaa yangu anamtafuna leo yaani hawa wanawake?
 
Huyu wema Sepetu anamiaka 30, ivi aligombea umiss akiwa na miaka mingapi? Mana iyo 2006 , me nilikuwa form one . Nikiangalia miaka yangu mpaka sasa naona kanizidi miaka 2 tu.

Kiujumla Mimi nimekuwa Ila yeye naona yuko stagnant, hata kumkula naweza Sasa,
Nilikuwa form 2,Nina miaka 17
 
Back
Top Bottom