zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
- Thread starter
- #41
Wema amezeeka bana hana chake mjini aachie kina Mimi Mars na Mobetto watoto wa mjini saivWengine umri mkubwa sura ndogo hapo unalilia ukubwa. Huku wengine wanalilia utoto ama kweli