Aanze na salaah wa GSM
Maana hata kina wema wanatumwa na huyu jamaa
Ova
Hizi company jamani tuwe tunaangalia, Vanessa ni bint aliyetoka kwenye famila yenye maadili.jux naye ajitafakari mademu zake wote wanahusishwa na madawa...jacky kafungwa na vanessa ndio huyo katajwa....ngoja tuifuatilie hii muvi. ni mwendo wa kununua popcorn tu
We mtu duuu kama ngekewa upo?jux naye ajitafakari mademu zake wote wanahusishwa na madawa...jacky kafungwa na vanessa ndio huyo katajwa....ngoja tuifuatilie hii muvi. ni mwendo wa kununua popcorn tu
nipo mwekundu, labda huwa tunapishana tu majukwaani.....mzima lakini?We mtu duuu kama ngekewa upo?
mi nafikiri kuna mistake mahali.....namuonaga anajielewa sanaHizi company jamani tuwe tunaangalia, Vanessa ni bint aliyetoka kwenye famila yenye maadili.
Jamani mtoto wa diplomat nkiki mae?mi nafikiri kuna mistake mahali.....namuonaga anajielewa sana
Kutumia drugs haimaanishi haujielewi. Watu wanatumbukia kwenye drugs kwasababu tofautifotauti. Wapo wanaotumia cocaine kupata creativity zaidi. Na hapa watu wa sanaa ndiyo victims zaidi. Nataka ufahamu drugs kama cocaine inauwezo kusaidi kukurudisha kwenye original thoughts na hapa ndipo creativity ilipo. Nilisikia mahojiano fulani artist fulani alisema alipokuwa akitumia cocaine ilimfanya aone kama vile she can conquer the world. Na ni kweli...cocaine inakupa drive.....wasanii wanataka hii drive ndiyo maana wanatumbukia huko. Vanessa yeye ni artist ni rahisi tu kutumbukia. Mtu kama Oprah Winfrey huwezi dhani alikuwa anatumia crack cocaine.mi nafikiri kuna mistake mahali.....namuonaga anajielewa sana
SembeJux + jack=?