Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

huyu mtu ni jasiri kwa kweli na anastahili sifa anastahili kupewa ushirikiano na wakaazi wote wa mkoa. homgera mkuu wa mkoa.
 
Halafu tunataka mkuu wa mkoa wa Arusha afanye uchunguzi atuambie ndege iliyo beba shehena ya madawa y a kulevya na kushindwa kutua uwanja wa ndege wa KIA na kuelekezwa kwenda kutua Arusha mzingo ulikuwa wa nani
Heeee hebu dadavua
 
%25255BUNSET%25255D.jpg
ngada ni jambo libaya sana



0fgjhs299h6691tkmg.6e6b5575.jpg
 
Yalikuwa ni madawa au mzigo wa mtoto wa fulani
Ziliingia gari mbili nyeusi zikaizunguka kwa nyuma zikabeba mzigo na kuelekea hoteli fulani

Kuna mtu aliandika hivyo humu jf nakumbuka mpaka leo

Mnafukuwa makaburi yaliyofukiwa zamani
Aiseee Duuuuhh hatari
 
Majambazi umesema ni red handed.
Hawa wengine hakuna ushahid at hand...sio njia nzuri kuwachafua watu kwenye media....
Ingekua yeye ametangazwa na raia anahusika unadhani huyo mtu angepona...
unaongelea emotion/feelings kaka but watuhumiwa wengi hutajwa hata wa TRA ama kubaka nk na sio red handed na wengi hushinda kesi-not necessarily a defamation. Besides hao watu wametajwa na connection yao ambayo yeye anawaita kuwahoji/tracking ..... na anatangaza kutengeneza public awareness kuwa hili ni tatizo anajaribu kulitolea ufumbuzi.
 
Wilaya ya kinondoni mbona sio kubwa yakifukuliwa Mapapa hata matano tu biashara itapungua Sana. Kuna WATU wanaamini huu MTANDAO ni hatari Sana wanafananisha na marekani.. Hapana Kwa tanzania ni RAHIS Sana kuudhibiti. USHIRIKIANO ukitolewa. Makonda Jana kasomeka
Unaongea nini wewe,chonji yuko jela na bado anaendeleza biashara zake uraiani kama kawa,nguvu waliyonayo wauza ngada bongo ni kubwa kuliko unavyofikiria,alishindwa raisi aliepita na huyu wa sasa pia atafeli tu,kesi ya tumbili ukimpa ngedere ahukumu unadhani outcome itakuaje?.
 
hayo ya Unga yanaibuka sambamba na mkoa wa Dar kushika nafasi ya mwisho katika matokeo ya form 4...ishu ya matokeo ikipoa na hili nalo litapotea kama yalivyo potea yale ya kutokomeza pombe ya kiroba.
 
Back
Top Bottom