Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Sasa hivi alivotangaza makonda ni kama anawasanua jamaa wafiche mzigo au? Na kuwakamata mateja ndo kuwapata wanaouza au? Mbwembwe tu hizi hazisaidii kitu zaidi kiki tu
 
Vita hii kama huna strategy watafeli. Huko kwenye siasa unga ni balaa huku kwa viongozi wa dini usisme hawa wasanii ni kete mia kubwia na kuficha ila hao nliowataja hasa wenye diplomatic passport ndio utalia. Mm kwa kweli hili nalijua sana ktk vijana niliokuwa nao kumi basi 7 ni wafanyabiashara hizi ni hatari wallah
 
Onesha ushirikiano ndugu
 
Binafsi nasifu hata hivi vijitihada ya makonda
(katika moja ya post zangu niliwahi kusema kwa nn kufuatilia kusianzie kwa watumiaji- naona wazo langu lilitekelezwa.)

Walakini: network ya madawa ya kulevya ni kubwa kuliko tunavyofikiri, imani yangu ni kwamba ni mtandao unaohusisha baadh ya wakuu na viongozi waandamiz wa serikali, ndio mana mukulu wa awamu ya 4 ,3 yalimshinda.

Ili tufike tunatakiwa tuondoe kujuana,urafiki, usela , ukada n.k,

Tukishindwa kwa njia hii basi plan B ni Duterte's way..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Duterte's way ts more berra
 
Sio vita rahisi kama wengi wanavyodhani, hasa inapokuja kwa wale "mapapa"
 
Sidhani kama Makonda amedhamiria kweli. Bse kama ni kweli mbona wanawajua bana!! Baadhi ya waliowahi kutuhumiwa ni viongozi wengine wamewahi kuwa mawaziri. Kimsingi ccm imejaza watu hawa wanajificha kule
 
Wengine wakitajwa nchi itatikisika.

vita hiyo ya madawa haiwezi kufanikiwa sasa na ndio maana jitihada hizi za makonda naona ni kazi bure ,haiwezekani upige vita madawa halafu wakubwa ndio wanaingiza kila kukicha na wanafahamika ila wanaogopwa,
 
Onesha ushirikiano ndugu
Ushirikiano wa nn unahakika serikali na vitengo vyake havijui be serious bana haya mambo anayofanaya makonda hii kitu kinaitwa [HASHTAG]#drugbaron[/HASHTAG]
 
huyu makonda huyu, mbona kajipa kazi ngumu sana, anyway tumuombee tu. drugs dealer ni watu wenye nguvu sana ya kifedha. lakini isiwe vita ya makonda peke yake hatoweza, watnzania kwa ujumla wetu tuunge mkono jitihada hizi.
 
Back
Top Bottom