Stori za vijiweni zitakuponzaAkamate familia ya JK maana Jk aliondoka na ndege usiku mwanae asiuawe alipokamatwa na sembe China.
Wapo wabunge na mawaziri wa CCM wanahusika pia
Onesha ushirikiano nduguVita hii kama huna strategy watafeli. Huko kwenye siasa unga ni balaa huku kwa viongozi wa dini usisme hawa wasanii ni kete mia kubwia na kuficha ila hao nliowataja hasa wenye diplomatic passport ndio utalia. Mm kwa kweli hili nalijua sana ktk vijana niliokuwa nao kumi basi 7 ni wafanyabiashara hizi ni hatari wallah
JK unamaanisha Jiko Kubwa?Akamate familia ya JK maana Jk aliondoka na ndege usiku mwanae asiuawe alipokamatwa na sembe China.
Wapo wabunge na mawaziri wa CCM wanahusika pia
Imekugusa eh? Kwani Makonda anachokifanya ni cha vijiweni?Stori za vijiweni zitakuponza
Hilo hilo ingawaje hata jiko dogo linaivishaJK unamaanisha Jiko Kubwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Duterte's way ts more berraBinafsi nasifu hata hivi vijitihada ya makonda
(katika moja ya post zangu niliwahi kusema kwa nn kufuatilia kusianzie kwa watumiaji- naona wazo langu lilitekelezwa.)
Walakini: network ya madawa ya kulevya ni kubwa kuliko tunavyofikiri, imani yangu ni kwamba ni mtandao unaohusisha baadh ya wakuu na viongozi waandamiz wa serikali, ndio mana mukulu wa awamu ya 4 ,3 yalimshinda.
Ili tufike tunatakiwa tuondoe kujuana,urafiki, usela , ukada n.k,
Tukishindwa kwa njia hii basi plan B ni Duterte's way..
Wengine wakitajwa nchi itatikisika.
Ushirikiano wa nn unahakika serikali na vitengo vyake havijui be serious bana haya mambo anayofanaya makonda hii kitu kinaitwa [HASHTAG]#drugbaron[/HASHTAG]Onesha ushirikiano ndugu
Unafanya kazi gazeti gani la udaku mkuu?WCB wanailipa TRA million 55 kwa mwezi... Unaanzaje kuwadaka. Nchi inawaangalia,, TRA wanawapa salute.
Marekani ndio nini?marekani wameshindwa Tz tutaweza?
Hata Wema jamani!Hapo namuhurumia Kabyser tu