Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Hii list inawezekana mkuu wa mkoa alishuka nayo kutoka Unyamwezini baada ya kuonana na Mange Kimbambi.
Hahahahahaa.. Siku mkuu wa mkoa akimuona Mange nadhani atampa kwanza makonzi kabla ya kumpeleka mahakamani
 
Wema ila sidhani kama watamkamata,sidhani,kwanza hapa wanapanga mikakati mizito ya kuiua kesi,wakina Peti wataisoma namba
 
Kupitia "mr. informer" ya clouds fm majina ya watu maarufu ikiwemo askari wakubwa na wasanii wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya yatajwa na mkuu wa mkoa wa dar-es-salaam makonda, kwa wale waliosikiliza unaeza share na sisi humu.
Askari wakubwa ndo nini wewe? sema polisi.
 
Nimeanza kuona mabadiliko ya serikali,,
 
Wema kila siku anasema ana ujio mpya mwaka huu,naona kumbe jela ilikua inamuita,namtakia maisha mema ya ujio mpya,kweli mwaka 2017 mwaka wa wema sepetu
 
Sasa mbona Clouds wameshuindwa kusema na mtangazaji wao wa kipindi cha tegua mtego ametajwa ndugu Babuu wa kitaa?
 
Wema kila siku anasema ana ujio mpya mwaka huu,naona kumbe jela ilikua inamuita,namtakia maisha mema ya ujio mpya,kweli mwaka 2017 mwaka wa wema sepetu
Huyo ana kadi ya chama chetu CCM, hawezi kwenda jela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…