Wema Sepetu: Msinifanye mimi kuwa daraja, Sitahudhuria maombi yaliyotangazwa na huyo Mchungaji

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
1541601166042.png

Muigizaji Wema Sepetu ameonesha kuchukizwa na kitendo cha mchungaji kutaka kutumia jina lake kama sehemu ya kupata watu wengi watakao hudhuria ibadani kwake kwa kusema kuwa atamuombea.

Wema Sepetu ameamua kuvunja ukimya na kusema hatoshirki kwenue maombi hayo ambayo mchungaji huyo amekuwa akiyatangaza.

“Hakuna kitu kinachouma kama kuhusishwa kwenye jambo nisilokuwa hata na habari nalo.
Naona sasa inakuwa TOO MUCH…
Hizo habari za kuwa na Mkesha wa Ibada sina habari nazo… Nilivyosikia kwa mara ya kwanza nilichukulia poa na pia maana ni sehemu ya kumuomba Mungu nikaona ni sawa”

“Ila sasa naona imekuwa kama “Wasafi Festival” jamani… Maana ni ma Interview na matangazo utasema ni Show, Sababu kwa kuwepo sitokuepo as it is.
Ninaumwa sana na bado sija recover vizuri… So even nilivyosikia kwamba kutakuwa na watu wamejikusanya kufanya mkesha wa Ibada ya kuniombea nilijiskia faraja BUT haikuwa ni kitu ambacho nimepanga mimi”

“INSTEAD I was happy that kuna watu wamenifikiria hata kunifanyia maombi .
Sasa Kaka/Baba angu Mchungaji… Mbona naona kama umenifanya Daraja jamani…
Ndo haya haya Zama aliosema ya kufanywa Daraja…
Nimelivunja DARAJA , Halipo tena…
Na sitokubali kuendelea kufanywa Daraja na mtu yoyote yule”

“Kwenye mambo mengine Inabidi nianze kua MKALI Cause I think its getting outta hand So with all due RESPECT, Natamka Leo hii… Mimi kama Wema Sepetu siwezi kuwepo katika hilo tamasha na haikuwa katika plan yangu.
Naliita tamasha sababu Maombi huwa hayaendi kwa mtiririko huu ".
 
Pastor commando,hahaa! Hilo jina tu la pastor wa manabii,mitume na maaskofu. Lakini Wema hayumo kwenye hayo makundi anayochunga pastor commando
 
Hivi ukitaka kumwombea mtu ni lazima utangaze? Hii nadhan sio sawa. Bora Wema ameliweka sawa.
Ndiyo unatangaza kama ni mtu ambaye atavuta hisia za wengi ili waje kwenye ibada. Lakini cha muhimu unaandaa vikapu vingi vya kukusanya sadaka. Lengo ni waje wengi sadaka ipatikane nyingi na wewe ujulikane pia.
 
View attachment 924809

Muigizaji Wema Sepetu ameonesha kuchukizwa na kitendo cha mchungaji kutaka kutumia jina lake kama sehemu ya kupata watu wengi watakao hudhuria ibadani kwake kwa kusema kuwa atamuombea.

Wema Sepetu ameamua kuvunja ukimya na kusema hatoshirki kwenue maombi hayo ambayo mchungaji huyo amekuwa akiyatangaza.

“Hakuna kitu kinachouma kama kuhusishwa kwenye jambo nisilokuwa hata na habari nalo.
Naona sasa inakuwa TOO MUCH…
Hizo habari za kuwa na Mkesha wa Ibada sina habari nazo… Nilivyosikia kwa mara ya kwanza nilichukulia poa na pia maana ni sehemu ya kumuomba Mungu nikaona ni sawa”

“Ila sasa naona imekuwa kama “Wasafi Festival” jamani… Maana ni ma Interview na matangazo utasema ni Show, Sababu kwa kuwepo sitokuepo as it is.
Ninaumwa sana na bado sija recover vizuri… So even nilivyosikia kwamba kutakuwa na watu wamejikusanya kufanya mkesha wa Ibada ya kuniombea nilijiskia faraja BUT haikuwa ni kitu ambacho nimepanga mimi”

“INSTEAD I was happy that kuna watu wamenifikiria hata kunifanyia maombi .
Sasa Kaka/Baba angu Mchungaji… Mbona naona kama umenifanya Daraja jamani…
Ndo haya haya Zama aliosema ya kufanywa Daraja…
Nimelivunja DARAJA , Halipo tena…
Na sitokubali kuendelea kufanywa Daraja na mtu yoyote yule”

“Kwenye mambo mengine Inabidi nianze kua MKALI Cause I think its getting outta hand So with all due RESPECT, Natamka Leo hii… Mimi kama Wema Sepetu siwezi kuwepo katika hilo tamasha na haikuwa katika plan yangu.
Naliita tamasha sababu Maombi huwa hayaendi kwa mtiririko huu ".
Na wakimaliza maombi, lazima 'amtoe' pepo kwa njia atayoonyeshwa na" malaika"
Pepo hutoka kirahisi wakiwa kama walivyozaliwa.
 
Hata Mungu hapendi
Ndiyo unatangaza kama ni mtu ambaye atavuta hisia za wengi ili waje kwenye ibada. Lakini cha muhimu unaandaa vikapu vingi vya kukusanya sadaka. Lengo ni waje wengi sadaka ipatikane nyingi na wewe ujulikane pia.
 
Pasta ka anaombea watu kwanini asiende mahospital kuombea watu
 
Back
Top Bottom