Wema sepetu: Mume wa zari anataka "KUNIOA"

Acha tuwaone mana wanasema hakuna kitu kinauma kama kugongewaaaaaa
 
Yaani Ivan anataka kuua mbu kwa bunduki, haihitaji kutimia nguvu Wema ni maji mara moja unakula mzigo. Akioa atakuwa ameingia choo cha kike huyo ni kunguru hafugiki kuna waliokwisha tia ndani wakampa talaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…