warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #21
Jamani please wana JF mgeukieni Mungu hizi ni siku za mwisho,mi nawatangazia tu kama mtumishi wa Mungu ila mtayakumbuka maneno yangu siku mkiwa mnaswangwa kwenda motoni
Ahahaha ahahah sijawahi kuvunjwa mbavu kiasi hiki, Dinazarde Madam B geniveros Mrembo by Nature nifah ebu piten uku mumuone mtumishi wa bwana
Last edited by a moderator: