Wema sepetu: Mume wa zari anataka "KUNIOA"

Wema sepetu: Mume wa zari anataka "KUNIOA"

Last edited by a moderator:
Alisema anataka kuolewa mbona kimyaaaaaaa!!!!!ili wachawi tufweee na lipstic je zishakuja????

Mwenzangu hakuna ata kununua lipstick za mama ubaya , si umeona lips zake zilivyovimba kama pumb* za ng'ombe? Ukipaka tu na wewe unakua hvyo hvyo, wataishia kupaka hao hao akina martin,petii na mama kitumbo cheusi dawa
 
Sasa uyu kweli dah?Hivi Wema hadi sasa hajui kwanini Ivan anamtaka hadi ajifanye kua ana wasiwasi na Ivan. Kwani Ivan siku zote alikua hamuoni ama?Kweli kuna wanawake kuwapata rahis aiseee

Mwandiko wako umenikumbusha binamu yangu Nyasamaki sijui yuko wapi siku izi....mama ubaya anajishaua tu usikite kashapanuliwa nfyuuu
 
Last edited by a moderator:
Hata angekuwa anataka kumuoa, wema hawezi kubali kuolewa, labda aambiwe awe mpenzi apigwe shoping anunue sare za mashoga zake, Ivan akimvua chupi miezi mara mbili tatu, wema anasepa zake, hataki kujimilikisha kwa mume huyu dada.

Dinazarde na nifah ebu njooni mumsikie huyu
 
Last edited by a moderator:
Mtumishi wa bwana kakosea njia hebu muelekeze jukwaa la dini huko akahubiri hapa umbea mpaka mornie alaaaa

We muache tutamfundisha umbea huyu mpaka atasahau biblia kila siku akiamka atakuwa anakuja humu
 
Dinazarde nimechefula leo, si niliona tangazo kuwa jf ipo kwa instagram now wacha nikimbie nika wa follow? Kufika kule hakuna ata umbea kama uku mi nikawa unfollow hamna ata udaku, nkajua ntakuta vichambo kama vya dogie masta nfyuuu
 
Last edited by a moderator:
mh binamu huyo kaka jamani si nasikia anatoka na starlisha aka chagababie sijui
 
11055835_967047613305656_1130042608_n.jpg

huyo ndo starlisha aka chagabarbie nasika ndo anahukuliwa na jamaa ivanni mrembo bala
 
Hivi unapomwita wema malaya una ushahidi au mradi umesema au alitembea na baba ako mzazi

Acha mahaba ya ajabu kwa si ukweli kuwa Wema ni malaya? Hapo alipo ana list ya midume kibao iliyokwisha mkaza achilia mbali isiyokuwa na majina. Kumbe tafasiri ya umalaya kwako mpaka aliyetembea na wewe au mzazi wako?
 
Ahahahaha ahahaha makavu live...labda tafsiri ya malaya kwake ni mpaka mtu atembee wa wazazi wake ahahahaha
 
Wema alikuwa na diamond tu,huyu ni mtoto ni mtulivu tofauti na magazeti yanavyoandika.
 
Ahahahaha ahahaha makavu live...labda tafsiri ya malaya kwake ni mpaka mtu atembee wa wazazi wake ahahahaha

Sipendi kujibishana na watu but sidhani kama ni sahihi kumuita mtu malaya wakati anayemuita ivyo hatuijui list yake si ajabu ni worse kuliko wema sema tu si celebrity
 
Back
Top Bottom