Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania wepi hao uliozungumza nao wakakuagiza uwe mwakilishi wao? Mi naona so far so good, mara ngapi wanasiasa wanaporomosha mitusi na husikii lolote la aina hii toka kwao.
Tuache ubishi usio na mpango, tuwasapoti wasanii wetu kwa hatua yao ya kiungwana.
Tehe! Tehe! Tehe! Eti kuna wajinga wanamuita mfalme wa Bongofleva,labda wangemuita mfalme wa kugonoka
Hili jukwaa limekuwa la kudiss kila kitu.. hakuna support kwa wasanii wetu, kweli wabongo hatupendani..
Ulitaka tuwasupport kwa kuwaambia walipendeza na waendelee kuvaa nusu uchi?au support ipi tuwape?
Wema mrembo jamani cheki hayo macho yanaita.