Wema Sepetu Na Diamond Wakiwa Pamoja (Latest)

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68

Ule uvumi uliozagaa kuwa Diamond Platinumz ana kitu kipya ulikuwa ni wimbi la uvumi usiojulikana chanzo chake. Platinumz katika picha yake latest ya Instagram imewaonyesha wawili hao wakipiga pozi pamoja huku picha hio ikiwa na maneno 'Na Mshkaji' yaani mpenziwe Wema Sepetu.

Cheki picha yenyewe ya Instagram hapo chini:

Picha na stori imetolewa kutoka bkuHABARI
 
hapa mjini hapatakalika
wacha movie iendelee
 
Hivi Rommy kazi yake nini hapa mjini!!!!!!

diamond anavyodai ni ndugu yake, wametoka mbali sana, wanajuana toka enzi izo, haijajulikana undugu wa damu au ule wa mujini. Huyo jamaa ndo anajua mambo yake mengi sana na sio bwana desert, uyo anajua mambo ya picha tu maana ndo kazi yake
 
Yeah najua sio Desert wala hawahusian kabisaaaai!!!!!!!!!!

Basi sawa ila nasikia jamaa nae ana mkwanja hayuko vibaya when it comes to Money Issues

hata kuna Video moja Diamond alipiga kama sijakosea ni Mbagala kuna mkoko mmoja mle ni wa jamaa

ndo nikawa najiuliza anapiga issue gani hapa town
 
Na yeye ana damu ya kunguru, kukaa kote karibu na diamond ila hana umaaruf wowote, jamaa namuonaga ana shine tu simuelew sijui na yeye muimbaji au muigizaji, ngoja niingie mzigoni binadamu soon data zake zitakuwa mezani
 
mie nimemfahamug zamani ila baadae nikawa namuona na diamond sana

nakuaminia Warumi
 
Nasikia jamaa aliwah kuwa mtangazaji pale clouds TV, suala la jamaa kuwa na mkwanja sana nina mashaka nalo binadamu, maana jamaa inasemekana analishwa bata na diamond apa mujini...
 
Moja ni ndugu yake wa Damu
pili kuhusu eti mimi mpiga pic tu nisiejua chochote...pole sana,hufaham unalozan unalifahm
na ninafahm umeongea tu kwa kuonyesha chukibtu kwangu na siyo kwa fact kwa kufaham khusu mimi
 
So kama hta hufaham data zake..anafanya nini na nani kwa nini unajitia kumfaham ama kunifaham mm na kudanganya watu..wabongo bana
ujuaji mwingiii
 
Skama humfahm unafahma vip hatuhusiani?any way we nishakuzoea
upo kwenye list..
 
Yeah najua sio Desert wala hawahusian kabisaaaai!!!!!!!!!!

Basi sawa ila nasikia jamaa nae ana mkwanja hayuko vibaya when it comes to Money Issues

hata kuna Video moja Diamond alipiga kama sijakosea ni Mbagala kuna mkoko mmoja mle ni wa jamaa

ndo nikawa najiuliza anapiga issue gani hapa town

Hahahahah rommy hana mkwanja wowote,ni ----- tu hapa mjini..anachomiliki cha maana ni make ups na pamba anazovaa kwa kununuliwa na diamond...sema anawapiga sana mademu wakuja wanaopapalikia kila mtu wanaemuona kwenye media.
 
Mmoja napenda Ndoa kwani umri nao waanza kumtupa , lakini mwingine ndio kabisa anaanza toa tongo tongo, angemwacha angalau miaka miwili kwanza achezee ujana ili kwenye ndoa aje atulie mwana.
 
Back
Top Bottom