Ibrahim300
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 390
- 68
Njoo heaven on desert aka Romy Jones
Huyo mtu unayemtaja na Romy Jones ni watu wawil tofauti....
Hivi Rommy kazi yake nini hapa mjini!!!!!!
diamond anavyodai ni ndugu yake, wametoka mbali sana, wanajuana toka enzi izo, haijajulikana undugu wa damu au ule wa mujini. Huyo jamaa ndo anajua mambo yake mengi sana na sio bwana desert, uyo anajua mambo ya picha tu maana ndo kazi yake
Yeah najua sio Desert wala hawahusian kabisaaaai!!!!!!!!!!
Basi sawa ila nasikia jamaa nae ana mkwanja hayuko vibaya when it comes to Money Issues
hata kuna Video moja Diamond alipiga kama sijakosea ni Mbagala kuna mkoko mmoja mle ni wa jamaa
ndo nikawa najiuliza anapiga issue gani hapa town
Na yeye ana damu ya kunguru, kukaa kote karibu na diamond ila hana umaaruf wowote, jamaa namuonaga ana shine tu simuelew sijui na yeye muimbaji au muigizaji, ngoja niingie mzigoni binadamu soon data zake zitakuwa mezani
mie nimemfahamug zamani ila baadae nikawa namuona na diamond sana
nakuaminia Warumi
Njoo heaven on desert aka Romy Jones
Hivi Rommy kazi yake nini hapa mjini!!!!!!
Yeah najua sio Desert wala hawahusian kabisaaaai!!!!!!!!!!
Basi sawa ila nasikia jamaa nae ana mkwanja hayuko vibaya when it comes to Money Issues
hata kuna Video moja Diamond alipiga kama sijakosea ni Mbagala kuna mkoko mmoja mle ni wa jamaa
ndo nikawa najiuliza anapiga issue gani hapa town
Skama humfahm unafahma vip hatuhusiani?any way we nishakuzoea
upo kwenye list..
Inawezekana pia ni kiungo muhimu sana na kasababisha Diamond arudine na wemaKazi yake kubwa ni udananda..anaishi kwa nyota ya domo na wema.