Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Hivi Rommy kazi yake nini hapa mjini!!!!!!
Inawezekana pia ni kiungo muhimu sana na kasababisha Diamond arudine na wema
Kazi yake kubwa ni udananda..anaishi kwa nyota ya domo na wema.
anauza...
Hahahahah rommy hana mkwanja wowote,ni ----- tu hapa mjini..anachomiliki cha maana ni make ups na pamba anazovaa kwa kununuliwa na diamond...sema anawapiga sana mademu wakuja wanaopapalikia kila mtu wanaemuona kwenye media.
anauza nini!!!!!!!!!
unahamaki??
hujui kuwa ushafika posta mpya?
we shangaa maghorofa sasa!
wengine tulikuja mjini kwa mbio z mwenge
anauza sembe..Kabang au anauza nini
afu wewe ntakupiga ban sasa hivi!!
kwanini unawasingizia wenzio?? eenh!
unaujua uchungu wa kuliwa kabang wewe??
Mi sijui kweli
we una maneno mengi
sasa ngoja nikwambie..
We si ni mrefu mrefu, si ndio mtoto mzuri?