Wema Sepetu Na Diamond Wakiwa Pamoja (Latest)

Wema Sepetu Na Diamond Wakiwa Pamoja (Latest)

Inawezekana pia ni kiungo muhimu sana na kasababisha Diamond arudine na wema

Alijaribu utangazaji ukamshinda...sasa kabakiza kudananda tu mjn hapa,ofcoz kachukua kazi ya halima kimwana kwa domo
 
Hahahahah rommy hana mkwanja wowote,ni ----- tu hapa mjini..anachomiliki cha maana ni make ups na pamba anazovaa kwa kununuliwa na diamond...sema anawapiga sana mademu wakuja wanaopapalikia kila mtu wanaemuona kwenye media.

haha maana huwa ana bling si mchezo....kumbe nae ni wale wale kasoro majina lol
 
Rommy jones mi namjua sana,rafiki yake mkubwa alikuwa anaitwa mapori back in 2009/10 walikuwa wanahustle sana na mshkaji wake huyo before kukutana na diamond anayedai ni ndugu yake..jamaa aliingia clouds ila kwakweli ni kilaza namjua ndo maana clouds ikamphase out ni mpenda starehe na madem kuliko kazi..mizinga mbayaa yule dogo..kwa diamond ni dj wake ila sioni kama napiga kazi ya kutosha ni full sererekoo...

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
ImageUploadedByJamiiForums1391959392.335762.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1391959424.117846.jpgImageUploadedByJamiiForums1391959448.030644.jpg
Diamond & Rommy wakiwa watoto naamini watakua ndugu sio marafiki alafu nakumbuka back in the days walikua na kundi lao la ku-rap nliwaona Bills wakifanya show km miaka 6 ivi iliopita so km wali-husstle pamoja acha wazitumie pamoja sioni km kuna udananda hapo.
 
Back
Top Bottom