Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu sijui umefikiria nn kuandika hiviWema anatakiwa apate bwana muhindi sasa, ila awe anamlilia, wanakimbizana bustanini, huku wanarushiana maua
Alipost nini?Wema nae kazidi,aachwe tu.
Sio kwa uchafu aliopost snapchat jana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu aliambiwa amnunulie Wema Range Rover Evoque aka kataaa akipigwa kibut cha kwanza Akaliaa weee akarudishwa relationship hiz tuwaachie Brad Pitt na Angelina Jolie aiseeee
HahaInatabidi serikali iingilie kati.
Atakuwa kamtengezaHakuna mwanaume aliyeweza kumtuliza wema kama jumbee wema aliishi naye uswaa wakapika na kupakua kwenye vibatari jumbee jichukulie tena zigo lako bana unaliwezeya mwenyeweee
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji35] jf inanikunaaaUmoja wa Ulaya uingilie kati na kuna habari za chini kwa chini kuwa Idris na Wema Sepetu walisha jitoa NATO na Idris kawekewa Sanctions na Marekani, Ndiyo maana Idris kaamua kuachana na Wema 7bu kashindwa kumhudumia hana hela sababu ya vikwazo alivyo wekewa na mataifa ya Magharibi! Tumwombee sana kijana wetu ajiunge na EAC!
Inatabidi serikali iingilie kati.
Yeah na tunafaidi mno nashangaa wewe wa mkoa inakuuma namna hiispecial kwa wanaume wa Dar.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] !!Ni zamu ya Samata sasa
Mkuu andaa u.s. DOLLAR 300 K hapo mtaendana.Huyu wema kwani Ana gundu gani? Kwani lazima Kila mwanaume wake awe mbongo movie au bongo fleva?
Siaje hata kwetu tumsitiri tu
Bora angejisitiri hata kwa Mzee wa vijisenti akala maisha, maana hawa wazee pesa yao inatufuta mtumiaji, na kwa Wema ndio mahali pakee kabisaaaHuyu wema kwani Ana gundu gani? Kwani lazima Kila mwanaume wake awe mbongo movie au bongo fleva?
Siaje hata kwetu tumsitiri tu
Ni ngumu wakati na wewe unataka uonekane kwa wenzako unampenzi kijana unae endana nae, mzee hana muda wa mashauzi.Bora angejisitiri hata kwa Mzee wa vijisenti akala maisha, maana hawa wazee pesa yao inatufuta mtumiaji, na kwa Wema ndio mahali pakee kabisaaa
Nilikuwa "siuelewi" huu ubuyu mpk nilivokutana na post yako!Wema nae kazidi,aachwe tu.
Sio kwa uchafu aliopost snapchat jana.
Sa si watakufa njaa!Wema anatakiwa apate bwana muhindi sasa, ila awe anamlilia, wanakimbizana bustanini, huku wanarushiana maua