Wema Sepetu na Idris Sultan wamwagana rasmi

Wema Sepetu na Idris Sultan wamwagana rasmi

Hakuna mwanaume aliyeweza kumtuliza wema kama jumbee wema aliishi naye uswaa wakapika na kupakua kwenye vibatari jumbee jichukulie tena zigo lako bana unaliwezeya mwenyeweee
Atakuwa kamtengeza
 
Umoja wa Ulaya uingilie kati na kuna habari za chini kwa chini kuwa Idris na Wema Sepetu walisha jitoa NATO na Idris kawekewa Sanctions na Marekani, Ndiyo maana Idris kaamua kuachana na Wema 7bu kashindwa kumhudumia hana hela sababu ya vikwazo alivyo wekewa na mataifa ya Magharibi! Tumwombee sana kijana wetu ajiunge na EAC!
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji35] jf inanikunaaa
 
kwa hiyo Wema atamrudishia Idrissa hela zake zot!?
 
Huyu wema kwani Ana gundu gani? Kwani lazima Kila mwanaume wake awe mbongo movie au bongo fleva?
Siaje hata kwetu tumsitiri tu
Bora angejisitiri hata kwa Mzee wa vijisenti akala maisha, maana hawa wazee pesa yao inatufuta mtumiaji, na kwa Wema ndio mahali pakee kabisaaa
 
Bora angejisitiri hata kwa Mzee wa vijisenti akala maisha, maana hawa wazee pesa yao inatufuta mtumiaji, na kwa Wema ndio mahali pakee kabisaaa
Ni ngumu wakati na wewe unataka uonekane kwa wenzako unampenzi kijana unae endana nae, mzee hana muda wa mashauzi.
 
Back
Top Bottom