Wema Sepetu na lugha picha

Wema Sepetu na lugha picha

Wabongo bhana wape picha tu, stori na kichwa cha habari wanatengeneza wenyewe.
 
Hebu muacheni huyu binti jamani

Hii ameipiga ghana na walikuwa wana-act muvi yao inayotarajiwa kutoka karibuni
 
,ukizingatia media za mbongo kwa asilimia kubwa hujadili mambo ya wasanii hata ya kijinga tu.
Vyombo vyote vya udaku dunia nzima ndiyo vipo hivyo na ndiyo kazi yao hiyo.
Hutaki usifuatilie kama mimi hayo magazeti ya udaku.
 
Nyie watanzania kweli hamnaga kazi na mnazidi aibisha nchi yetu haswa barani Africa.

Van ni mume wa mtu na yeye amumuajiri Wema ktk movie yake.

Picha nyingi zinazunguka wakiwa pamoja ni scen za movie hiyo.

So mumuache mGhana wa watu, na Wema aendelee na mababu wake wenye pesa alizozipenda na kuamua kumuacha Diamond.
 
Back
Top Bottom