Wema ndio nani tafadhari?
Ok! Mkuu Mtamile, nitumie namba yake ya sim plz, nina shida nae binafsi.Ni Teller wa Stanbic bank ndiye aliyekuwa anatoa yale mabilioni ya Escrow yaliyobebwa kwenye Lumbesa
Huyo ni van vicker kanumba wa ghana hyo
Hapo ni baadhi ya vipande wanavyoigiza
Kuna muvie wanacheza pamoja
Ok! Mkuu Mtamile, nitumie namba yake ya sim plz, nina shida nae binafsi.
Wabongo bhana wape picha tu, stori na kichwa cha habari wanatengeneza wenyewe.
Vyombo vyote vya udaku dunia nzima ndiyo vipo hivyo na ndiyo kazi yao hiyo.,ukizingatia media za mbongo kwa asilimia kubwa hujadili mambo ya wasanii hata ya kijinga tu.
Wema ndio nani tafadhari?