Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
Haya haya wale wapenda ubuyu, stori ya town ni kwamba wema sepetu sasa yupo kwenye penzi zito na msanii maarufu duniani, ajulikanae kama mohombi: staki kusema sana tazama video yao hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema hivi huyu MAMA ali....Hivi huyu dada ashawahi kudumu na mpenzi zaidi ya miaka angalau miwili tu?
msanii maarufu duniani, ajulikanae kama mohombi:
maarufu kwenye coconut tree 😀maarufu kwenye nini.........?......
Sababu sio mfuatiliaji music wa duniaFirst time hearing of him...
tutafika tuTanzania ya viwanda.