Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Haya haya wale wapenda ubuyu, stori ya town ni kwamba wema sepetu sasa yupo kwenye penzi zito na msanii maarufu duniani, ajulikanae kama mohombi: staki kusema sana tazama video yao hii
Tumshukuru Mungu hazina kilometer counter