Wema Sepetu na Mohombi mambo ni motooo!

Yani fisi wanatupiana mzoga tu
 
Ndo maana sishangai toka ccm kwenda chademaa![emoji23][emoji23][emoji23]
 
huyu mohombi alisha fanya collabo na diamond... nasikia diamond alimpa namba ya wema sepetu baada ya nokorolo 🙂🙂🙂
 
Halafu baadae waje wasema rais apiteshe muswada wa kuoana kwa nguvu huku hio kitu imeshatumika imebaki kuwa ngumu kama tairi
 
Jamaa ni kweli kajipatia umaarufu fulani hasa kwenye wimbo huu chini na Shaggy ambao Youtube umeangaliwa sana.


Jamaa alipata pia bahati ya kukutana na Mtoto wa Mzee Quincy Jones, anaitwa Quincy Jones III ambaye ni Producer na Mama yake pia ni Mswidi.
Ndiyo maana kwenye wimbo wa Sanford & Son wa Quincy Jones, Mohombi kashirikishwa.
Kuwa na Mama Mswidi kumemfungulia sana milango na kwa kiasi fulani unaweza kusema anajulikana duniani.
Kuna wimbo pia alishiriki kuimba na Diamond wetu wimbo wa Rockonolo.
Preta nadhani pia utakuwa umeshaelewa.

Jina lake linasomeka Mo'ombi maana Wafaransa hawana H sasa sijui huwa wanaiweka ya nini?
Ndiyo maana Yahaya au Yahya Toure akaamuka kuifuta kabisa na kubakisha YAYA Toure.

HAPPY NEW TO YOU ALL.

....the hell is Mohombi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…