Wema Sepetu na Nyumba ya Kijitonyama

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Inasemekana ule mjengo wa kijitonyama aliokuwa akiishi super star wema sepetu ilikuwa siyo ya kupangisha kama inavyojulikana, Bali mjengo ule ni mali halali ya bwana clement , ambayo alinunua kwa shilling za kitanzania kama million mia mbili na ushee, baada ya Dada yetu kuzingua ndipo jamaa alipoamua kumfanyia mchezo wa watoto wa mujini ili kumzuga wema kuwa alipanga na kodi ilikaribia kuisha, hvyo alitakiwa kuhama haraka iwezekanavyo, mchezo huo huo akaufanya kwenye ile hadi la thamani alilomkabidhi na kufanikiwa kulirudisha mikononi mwake.

Upande wa shilingi staa wa ngololo aka my number one yupo mbion kurejeha majeshi kwa zilipendwa wake penny ambapo ivi sasa kamapangishia nyumba ambayo anaishi na Dada wa diamond na kumnunulia mkoko aina ya brevis kwa siri.
 
Kwa hiyo keshatimuliwaa au!!!dai hajampangishiaa tu bado aisee na hicho kipara ataenda wapiiiii lol wenzie watamchekajee
Safi sana clement muonyeshe we kidume bana si anapenda watoto wabana surualiii!!!!
 
hmm!

hii movie kali..! wema atakufa kwa stroke mwaka huu!

hivi clement ana kazi gani ikulu?
 
hmm!

hii movie kali..! wema atakufa kwa stroke mwaka huu!

hivi clement ana kazi gani ikulu?

Hahhhahhha clement mara wa ikulu mara wa airpot hata haeleweki laki mchizi kwa kuhonga pesa sijui unamfikiaa mura???
 
Shigongo alisema kwa sasa Clement wa ikulu anapiga mihayo tu baada ya kubadirishiwa kitengo.
 

warumi inaonekana hawa mastaa wetu wa kibongobongo unawajua nje ndani, sijui huwa unazinyakaga wapi hizi nyepesi nyepesi
 

Acha uongo wewe, Penny anamiliki hiyo brevis hata kabla hajamwangana na domo. Watz kwa udaku hamjambo kwa kweli.
 
Acha uongo wewe, Penny anamiliki hiyo brevis hata kabla hajamwangana na domo. Watz kwa udaku hamjambo kwa kweli.

Yap, hyo brevis ni ya mda na ndomo ndo aliyemnunulia, sasa uwongo uko wapi labda ? Au umekunywa Gongo mkuu
 
Wema na Diamond bila skendo hawawezi kuishi.
Hawa ni moja ya wasanii wenye ujinga mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…