warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Inasemekana ule mjengo wa kijitonyama aliokuwa akiishi super star wema sepetu ilikuwa siyo ya kupangisha kama inavyojulikana, Bali mjengo ule ni mali halali ya bwana clement , ambayo alinunua kwa shilling za kitanzania kama million mia mbili na ushee, baada ya Dada yetu kuzingua ndipo jamaa alipoamua kumfanyia mchezo wa watoto wa mujini ili kumzuga wema kuwa alipanga na kodi ilikaribia kuisha, hvyo alitakiwa kuhama haraka iwezekanavyo, mchezo huo huo akaufanya kwenye ile hadi la thamani alilomkabidhi na kufanikiwa kulirudisha mikononi mwake.
Upande wa shilingi staa wa ngololo aka my number one yupo mbion kurejeha majeshi kwa zilipendwa wake penny ambapo ivi sasa kamapangishia nyumba ambayo anaishi na Dada wa diamond na kumnunulia mkoko aina ya brevis kwa siri.