Wema Sepetu na Ommy Dimpoz kwa mara nyingine tena waonekana kwenye picha hizi tata

Kwamba madimpoz hana madhara.....mbona sielewi
 
Mlisema jongoo apandi mtungi ndio amewaonyesha ilifanyika shunguli apo
 
hivi ni kweli kwenye hizo picha tatu kuna wema? mmh! kweli wabongo hatuna kazi za kufanya
 
Nyoka wa Kibisa huyo Hana madhara.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huwezi kugonga dem alafu akawa ame relax hivyo chumbani...mtu aliyegongwa aaonekana...hawezi kuwa anachezea chezea simu hivyo
 
Za saizi jamani..............Mwenzenu nilikuwa kwenye ban almost siku ya nne leo..........Mnaendeleaje lakini
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa walikusweka lupango kosa gani ulifanya mkuu pole sana

mana siku hizi nilidhani hakuna ban kumbe zipo za kumwaga hahaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…