Wema Sepetu na Ommy Dimpoz kwa mara nyingine tena waonekana kwenye picha hizi tata

Wema Sepetu na Ommy Dimpoz kwa mara nyingine tena waonekana kwenye picha hizi tata

Kwamba madimpoz hana madhara.....mbona sielewi
 
Mlisema jongoo apandi mtungi ndio amewaonyesha ilifanyika shunguli apo
 
hivi ni kweli kwenye hizo picha tatu kuna wema? mmh! kweli wabongo hatuna kazi za kufanya
 
kutembeana wanaume tofauti akiwemo Idris Sultan,mshindi wa Shindano la Big Brother Africa.


Dah lakini ana lijitako siyo mchezo, mchizi anafaidi ...

wema3-png.348087
 
Namsikitikia wema jina lake halimsaidii. Kila siku linatumika vibaya. Hata makampuni yanashindwa kumtumia. Hajajua jina lake ndo lingempa hadhi ya kuwa mfanyabiashara mwenye mafanikio. Kashindwa kucheza karata kwa muda muafaka. Amebaki anaishi kwa kuigiza. Kila anachokiongea ama kukifanya kinaonekana ni uongo. Umri haudanganyi. Natamani azinduke sasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huwezi kugonga dem alafu akawa ame relax hivyo chumbani...mtu aliyegongwa aaonekana...hawezi kuwa anachezea chezea simu hivyo
 
Za saizi jamani..............Mwenzenu nilikuwa kwenye ban almost siku ya nne leo..........Mnaendeleaje lakini
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa walikusweka lupango kosa gani ulifanya mkuu pole sana

mana siku hizi nilidhani hakuna ban kumbe zipo za kumwaga hahaaaaa
 
Back
Top Bottom