Wema Sepetu na VJ Penny wapatana

Hahahaaaa team mavi sasa wamemvagaa dalalimwanamke kisa kamponda madameee.
 
Wapatanee tuuu na sio kuchukiana, yaan picha za zari zimewafanya wapatane heloooooo
 
Hahahaaaah mpatanishaji ni mdada ana jishape la ukweli lakini sura yake ina mabaka hatariii...alafu eti nae anauza vipodozi...

hatarii hii jamani nimecheka kweli
mganga hajigangi
 
hahaaass flat screeen tena?!!!
aibu yao aibu yetuui...?!!!

Eeeh shga angu wanamuitaga hivyo...hata hapa kuna mtu amewahi kumuita hivyo..
Ila gen mimi siamini bwana...sijui kwa nini?
 
kesho tutasikia Diamond kahamia kwa huyo junaitha!
 
Wapatanee tuuu na sio kuchukiana, yaan picha za zari zimewafanya wapatane heloooooo

Yani hawa hata wadhikiri uchi hawampati Zari kwa uzuri...na hapo mwenzao mdo kazaa, wao mayai bado wanayalia chipsi...heheheee....halo ya baby dog....
 
Yani hawa hata wadhikiri uchi hawampati Zari kwa uzuri...na hapo mwenzao mdo kazaa, wao mayai bado wanayalia chipsi...heheheee....halo ya baby dog....

Helo helo ya mayai kuyalia chipsi na mishikakiiii,,,Alaaaa hapana chezea Boss lady Zariii, alivyokuja Prezo alipita Wema acha Dangote awafaidi watoto wakalee banaa maana ingekua Wema katulia tungesema anamuonea
Dangote akitoka zari sijui nani anafwataaa labda karriuch wa Chriss Brown hamna lishindikanaloo hii dunia bana heloooo
 
Atahamia kwa Mariah Carey....uuuuuuuwiiii si yuko single yule?
 
Kawa kama kipapli, sura inammwagika, penny punguza kujikoboa chaaa

Sijui kwa nini watu hawajikubali jamani...hakuna anayeweza kumchezea Mungu...utajikoboa wee mwisho ni madhara tu no matter how much u spent...
 
Dina wewe ni mbea aisee nimekukubali, wewe plus Warumi= guess what! !!
 
Eeeh shga angu wanamuitaga hivyo...hata hapa kuna mtu amewahi kumuita hivyo..
Ila gen mimi siamini bwana...sijui kwa nini?

huamini kuelewana kwao
hamna hawatokua tena close friends km mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…