Queen Kyusa
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 663
- 162
Hahahaaaa team mavi sasa wamemvagaa dalalimwanamke kisa kamponda madameee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niwasaidie picha from insta View attachment 200410
duuuuuh.....kashindwa kujitibbu....au fekelo anavyouza
Mara aitwe flat screen jamani....
Hahahaaaah mpatanishaji ni mdada ana jishape la ukweli lakini sura yake ina mabaka hatariii...alafu eti nae anauza vipodozi...
hahaaass flat screeen tena?!!!
aibu yao aibu yetuui...?!!!
Wapatanee tuuu na sio kuchukiana, yaan picha za zari zimewafanya wapatane heloooooo
Yani hawa hata wadhikiri uchi hawampati Zari kwa uzuri...na hapo mwenzao mdo kazaa, wao mayai bado wanayalia chipsi...heheheee....halo ya baby dog....
Uwiiiii....huyo penny mkorogo umegoma au nini jamani?
Kawa kama kipapli, sura inammwagika, penny punguza kujikoboa chaaa
Helo helo ya mayai kuyalia chipsi na mishikakiiii,,,Alaaaa hapana chezea Boss lady Zariii, alivyokuja Prezo alipita Wema acha Dangote awafaidi watoto wakalee banaa maana ingekua Wema katulia tungesema anamuonea
Dangote akitoka zari sijui nani anafwataaa labda karriuch wa Chriss Brown hamna lishindikanaloo hii dunia bana heloooo
Kawa kama kipapli, sura inammwagika, penny punguza kujikoboa chaaa
Atahamia kwa Mariah Carey....uuuuuuuwiiii si yuko single yule?
Ntakufwaaaa mimiiiiii helooooooooooo ngoja tusubiriiii hapana chezeyaaaa
Kimataifa zaidi...
Helo helo ya mayai kuyalia chipsi na mishikakiiii,,,Alaaaa hapana chezea Boss lady Zariii, alivyokuja Prezo alipita Wema acha Dangote awafaidi watoto wakalee banaa maana ingekua Wema katulia tungesema anamuonea
Dangote akitoka zari sijui nani anafwataaa labda karriuch wa Chriss Brown hamna lishindikanaloo hii dunia bana heloooo
Eeeh shga angu wanamuitaga hivyo...hata hapa kuna mtu amewahi kumuita hivyo..
Ila gen mimi siamini bwana...sijui kwa nini?
huamini kuelewana kwao
hamna hawatokua tena close friends km mwanzo