Wema Sepetu na VJ Penny wapatana

[h=1][/h]
…. Hongereni Penny na Wema na huyo Dada yetu aliyewapatanisha , Maisha ni mafupi sana kuchukiana kisa Muhogo ambao kutwaaaaaa unatafuta visima vya kujiloweka .......Kila la kheri na zile Team mbona watu wagombane Tafuteni kazi nyingine lol ! Limewashukaje sasa ??.....
 
shosti na limetushuka kweli kuanzia leo sina team mavimavi akuu
nna team mkojomkojo
 
kuna watu wapatanishi wa wenzao,kwao no full mabifu
 
[Q UOTE=serio;11086577]hhahahahaaaa... kwa hiyo Junaitha naye atakuwa celeb hapa jukwaani kwa kuwapatanisha ma demu wa diamond..!![/QUOTE]
Huyo junaithar naye maarufu au
 
Hahahaaaah mpatanishaji ni mdada ana jishape la ukweli lakini sura yake ina mabaka hatariii...alafu eti nae anauza vipodozi...

Hamna picha tumuone huyo mpatanishi mshepu wake
 
Movie inaendelea wallah

Bora hao wamepatana life is too short kuishi na maugomvi ugomvi

Wamepatana baada ya kuona hapendwi mtu bali papuchi...wema mnafki tu....kwann asipatane nae wakt yuko na dai .. au sababu ameona zarithabosslady ameingia ulingoni...so waunganishe nguvu kumtukana....zari yuko hooot
 
Ht simshauri....papuchi ishatanuka...kakomaa..makalio manne....hana mvuto ....atulie aolewe tu na wazee wenzie

Hahahaaaa leo umemuamulia kwelikweli....
 
Wamepatana baada ya kuona hapendwi mtu bali papuchi...wema mnafki tu....kwann asipatane nae wakt yuko na dai .. au sababu ameona zarithabosslady ameingia ulingoni...so waunganishe nguvu kumtukana....zari yuko hooot

Unafiki mkubwaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…