Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Dina wewe ni mbea aisee nimekukubali, wewe plus Warumi= guess what! !!
Watafiti washasema wambea tunaishi miaka mingii hureeeeeeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dina wewe ni mbea aisee nimekukubali, wewe plus Warumi= guess what! !!
Yeah...
Siamini mambo ya zari na mondi
shosti na limetushuka kweli kuanzia leo sina team mavimavi akuu
nna team mkojomkojo
Uko insta sijui watajificha wapi na izo sura zao kama t@ko la mbu
Hivi binamu huwa unawaza nini jamani?---- la nzi likoje?Yani nimecheka mpaka basi
Hahahaaaah mpatanishaji ni mdada ana jishape la ukweli lakini sura yake ina mabaka hatariii...alafu eti nae anauza vipodozi...
Hahahaaaah mpatanishaji ni mdada ana jishape la ukweli lakini sura yake ina mabaka hatariii...alafu eti nae anauza vipodozi...
Hamna picha tumuone huyo mpatanishi mshepu wake
Ahahaaha nimejiropokea tu
Nenda instagram search Junaithar...mashaallah....
Movie inaendelea wallah
Bora hao wamepatana life is too short kuishi na maugomvi ugomvi
Rummy mchangamkie wema huyo hana mtu.
Duh nimemuona shepu balaa sema kipande kidogo kinamuangusha! Ila ndio hivyo mungu hakupi vyote!
Ht simshauri....papuchi ishatanuka...kakomaa..makalio manne....hana mvuto ....atulie aolewe tu na wazee wenzie
Wamepatana baada ya kuona hapendwi mtu bali papuchi...wema mnafki tu....kwann asipatane nae wakt yuko na dai .. au sababu ameona zarithabosslady ameingia ulingoni...so waunganishe nguvu kumtukana....zari yuko hooot