Wema Sepetu: Najuta kumlipia Kajala mil 13

Pole sana tujeuze shilingi upande wa pili
 
Hawa wanafanyiana makosa ya uhaini..wanatakiwa wakamatwe na kufunguliwa mashtaka mazito
 
Kakukomeshaaa we ulimsaidiaa ili akupee tenda wemaa uende zako usingoje shukranii,Wema anapenda kuonwa ye Mungu, go Kajala maisha yako unayawezaa bila Wemaaa
 
Kajala alishawahi kusema alimsukuma wema kwasababu yeye kajala alikua na jasho akaona atamchafua ila sio kwamba alimsukuma makusudi kwa bifu tena hao hao global walimuhoji
 
Hapo hakuna hta moja la kufanya wagombane sema ujinga ujinga wa wanawake ooh nilitka kumkumbatia akanianiambia utanichafua mara oooh nilimuaxima laki mbili akanitangazia ....ujinga ujinga ujinga

wanawake ni viumbe wa ajabu sana,wakati mwingine najiuliza kwa nini Mungu hakuwaumbia sayari yao ili tukiwa na shida nao tuwafuate huko huko kwao na kumalizana nao huko huko kwao.
 
Kakukomeshaaa we ulimsaidiaa ili akupee tenda wemaa uende zako usingoje shukranii,Wema anapenda kuonwa ye Mungu, go Kajala maisha yako unayawezaa bila Wemaaa

Na anapenda sana kujikosha aonekane mwema kumbe mwenyewe ufuska umemjaa. Bora huyo mwenzie atleast kakaa na mume miaka kadhaa huyo hata uboyfriend unamshinda kudumu nao mara Kanumba mara Jumbe mara Chazbaba huku Domo... Wote wezi hao asijifanye msafi....
 

Usimseme mwenzako na wewe waorodheshe kuanzia aliyekutoa BIKRA hadi sasa hivi km hamjafika MSATA
 
Teh ila pia kajala hajafanya vizuri kumchukulia my pedeshee wake....

Kwan huyo mwanaume si washaachana na Wemaa, halaf wana tabia ya kukuwadiana na wanaumee mbona Wema yupo na domo ina maana ye wanaume wote ni wakee bas awawekee alamaa
 
Usimseme mwenzako na wewe waorodheshe kuanzia aliyekutoa BIKRA hadi sasa hivi km hamjafika MSATA

Sasa kama nimewapanga hadi chalinze iweje leo nigombane na kumsema vibaya mwenzangu kisa kunichukulia ex wangu aliye niacha kwa kutokuwa mwaminifu nikamcheat na kurudiana na ex wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…