Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake bana vi ugonvi vya kijinga....
yeah unakuta ugomvi hauna kichwa wala miguu ka kitu kdogo basi
Wema, wema wake umemponza....
Hapo hakuna hta moja la kufanya wagombane sema ujinga ujinga wa wanawake ooh nilitka kumkumbatia akanianiambia utanichafua mara oooh nilimuaxima laki mbili akanitangazia ....ujinga ujinga ujinga
Kakukomeshaaa we ulimsaidiaa ili akupee tenda wemaa uende zako usingoje shukranii,Wema anapenda kuonwa ye Mungu, go Kajala maisha yako unayawezaa bila Wemaaa
Na anapenda sana kujikosha aonekane mwema kumbe mwenyewe ufuska umemjaa. Bora huyo mwenzie atleast kakaa na mume miaka kadhaa huyo hata uboyfriend unamshinda kudumu nao mara Kanumba mara Jumbe mara Chazbaba huku Domo... Wote wezi hao ajisifanye msafi....
Kafuliaa ndio maana anazimiss zile pesaaa hahhhhha
Teh ila pia kajala hajafanya vizuri kumchukulia my pedeshee wake....
Sistaduu huna adui mkubwa zaidi ya shosti
Usimseme mwenzako na wewe waorodheshe kuanzia aliyekutoa BIKRA hadi sasa hivi km hamjafika MSATA