Kakukomeshaaa we ulimsaidiaa ili akupee tenda wemaa uende zako usingoje shukranii,Wema anapenda kuonwa ye Mungu, go Kajala maisha yako unayawezaa bila Wemaaa
" Zunguka kote hakuna rafiki kama noti, sistaduu hauna mnafiki kama shosti" by Moko wa miujiza
Kwan huyo mwanaume si washaachana na Wemaa, halaf wana tabia ya kukuwadiana na wanaumee mbona Wema yupo na domo ina maana ye wanaume wote ni wakee bas awawekee alamaa
Nimekupenda bure qn of sheba" Zunguka kote hakuna rafiki kama noti, sistaduu hauna mnafiki kama shosti" by Moko wa miujiza
mbona yeye na Penny wanashindana kuibiana Diamond?Hata kama bana anajua alishakuwa na rafiki ake why na yeye ajiweke hapo
duh umetisha kumbe huwa unackiliza hiz ngumu nyeusi..mi nilijua ni platnum tu..
Sasa Bi dada Wema hapa dunia wewe tenda Wema kama jina lako ukisubiri shukrani lazima wakuvue nguo tuu.
Reference magazeti ''Eti wanasema Kajala kachukua Wema alichoona wa nini?Mjini mipango kijijini nguvu''Unaweza kuta chanzo wamepokonyana mabwana
Reference magazeti ''Eti wanasema Kajala kachukua Wema alichoona wa nini?Mjini mipango kijijini nguvu''