Wema Sepetu: Najuta kumlipia Kajala mil 13

Wema Sepetu: Najuta kumlipia Kajala mil 13

Kakukomeshaaa we ulimsaidiaa ili akupee tenda wemaa uende zako usingoje shukranii,Wema anapenda kuonwa ye Mungu, go Kajala maisha yako unayawezaa bila Wemaaa

Ha ha ha kama kawa upo! Bado shosti wako Mrembo by Nature! Mnanipaga raha sana
 
Hata kama bana anajua alishakuwa na rafiki ake why na yeye ajiweke hapo
mbona yeye na Penny wanashindana kuibiana Diamond?
Nafikiri ni namna ya kuitumia fursa vizuri ndio kitu kinachowagombanisha na sio kuchukuliana mabwana.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Kwani Wema na Kajala nani mkubwa? Tukiangalia hapo kwenye picha!
Ila kiukweli tenda Wema uende zako wala usingoje upewe Diamond!

"Nlikuwepo":bolt:
 
Sasa Bi dada Wema hapa dunia wewe tenda Wema kama jina lako ukisubiri shukrani lazima wakuvue nguo tuu.
 
Reference magazeti ''Eti wanasema Kajala kachukua Wema alichoona wa nini?Mjini mipango kijijini nguvu''

kuna tetesi hizo na inasemekana ndio mwezeshaji wake kwa sasa
 
Back
Top Bottom