Wema Sepetu: Najuta kumlipia Kajala mil 13

Wema Sepetu: Najuta kumlipia Kajala mil 13

Hii tabia ya kumsaidia mtu hafu unamsakama na kumkumshia kila siku kuwa bila wewe yeye asingekuwepo hapo ni tabia mbaya tena chafu sana. Saidia kama umeamua kusaidia then ambaa alaaaah.
Tenda wema usingoje shukurani.
Yaaani huyo Wema ananiboa sana kumsimanga Kajala kisa hiyo 13M lol
 
awake tunamatatizo sana jaman sijui yataisha lini
 
Kwa akili ya Wema sipati shida kujua kuwa mdada hujutia asilimia tisini kama sio mia ya kila anachofanya...na kwa masikitiko makubwa ni kuwa bado sioni kama kuna dalili ya yeye kupata tiba ya hilo soon...yaani bado ataendelea kuamua na baadae kujuta.

Na Mama mzazi ndio huyo anayetukana na kusutana kwenye kadamnasi, basi washauri wa kuchochea majuto unao dada.
 
Kajala amrudishie hiyo pesaa sisi binadamu kusaidiana mpaka tusimanganee ni kawaidaa
 
Back
Top Bottom